With beautiful wax crayon drawings, this book invites children
to explore nature and their surroundings. This first reference
book will awaken their sense of adventure and curiosity about
different flowers and plants. They will also discover interesting
facts such as colours, names, behaviours and their uses for
humans.
Pamoja na michoro mizuri ya rangi za krayoni, kitabu hiki
kinawaalika watoto kuchunguza mazingira asili na mazingira
yaliyowazunguka. Kamusi elezo hii itaamsha hamu ya utafiti
na udadisi wa kina kujua maua na mimea tofauti. Aidha,
watajifunza ukweli wa kuvutia kama vile rangi, majina na tabia
za mimea na maua pamoja na matumizi yake kwa binadamu.